Lango la Maji / Uvunaji wa Maji ya Mvua

From Akvopedia
Revision as of 23:45, 24 May 2017 by Winona (talk | contribs)

(diff) ← Older revision | Latest revision (diff) | Newer revision → (diff)
Jump to: navigation, search
English Français Español भारत മലയാളം தமிழ் Swahili 한국어 中國 Indonesia Japanese Russian

Uvunaji wa maji ya mvua ni namna ya ufundi ya ukusanyaji na uhifadhi wa maji ya mvua katika mabwawa ya asili au matangi au kupenyeza kwa maji ya juu ya ardhi kupitia mawe yaliyopo ndani ya maji (kabla hayajapotea kwa kuchuruzika kutokea juu ya ardhi.) Mbinu mmoja wa uvunaji wa maji ya mvua ni mbinu wa juu ya paa. Hapo, juu ya paa ikiwa na sura ya vigae, bamba za chuma, au plastiki, sura yoyote ile isipokuwa ya majani au kuti inaweza kutumika kuzuia njia ya mtiririko wa maji ya mvua uwe maji ya kunywa ya hali ya juu kwa familia pamoja na akiba kiasi cha kutosheza matumizi ya muda wa mwaka mmoja. Matumizi mengine ni pamoja na bustani, ufugaji na umwagiliaji, na kadhalika.

Matokeo: Uvunaji wa maji ya mvua utaongeza kiasi cha maji kinachopatikana, ukulima, hatimaye usalama wa chakula. Akina nani: Familia ambao hawana maji ya kutosha, au watu wanaoishi sehemu za vijijini watanufaishwa zaidi na mifumo ya uvunaji wa maji ya mvua. Jinsi: Kuna mlolongo unaoanzia na uvunaji wa maji ya mvua, halafu akiba ya maji itakayo kuwepo, mwishowe usalama wa chakula. Mlolongo huu utachangia kwa kiasi kikubwa ongezeko la mapato.

Sababu za kutumia mifumo ya uvunaji wa maji ya mvua zinajibu maswali matatu:

Matokeo: Uvunaji wa maji ya mvua utaongeza kiasi cha maji kinachopatikana, ukulima, hatimaye usalama wa chakula.

Akina nani: Familia ambao hawana maji ya kutosha, au watu wanaoishi sehemu za vijijini watanufaishwa zaidi na mifumo ya uvunaji wa maji ya mvua.

Jinsi: Kuna mlolongo unaoanzia na uvunaji wa maji ya mvua, halafu akiba ya maji itakayo kuwepo, mwishowe usalama wa chakula. Mlolongo huu utachangia kwa kiasi kikubwa ongezeko la mapato.


VIFAA vya uvunaji wa maji ya mvua - Mibinu ya kimsingi
WUMP photo small.jpg
Nepal micro small.jpg
RWH barrel.jpg
Samsam image.png
K3 (Kutiliwa upya,
Kuhifadhi &
Kutumiwa upya)
Ukuzaji wa
Biashara - Jinsi ya
Kugharimia Biashara
Huduma ya Matumizi
Mengi (HMM)
Kifaa cha
SamSam UMM
Rain is gain small.png
Gis small.png
Wash sustain small.png
Rain is Gain Tool
Rainwater Harvesting
GIS Map
WASH Environmental
Sustainability Assessment


Namna za TEKNOLOJIA za Uvunaji wa Maji - technical construction details, costs, and applicability
Rainwater harvesting small.jpg
In situ2 small.jpg
Surface water
Groundwater recharge
Fog collection small.jpg
Rooftop
In situ
Surface water
Groundwater
recharge
Fog and dew


UVUMBUZI WA UMM - approaches, technologies, applications and projects on 3R, MUS and sustainable financing
Salyan small.jpg
Salyan 2 small.jpg
Kajiado tank small.jpg
Rwambu spring small.jpg
Rwambu project small.jpg
Salyan and Dailekh,
Nepal
Salyan District,
Nepal
Kajiado, Kenya -
3R and MUS
Rwambu, Uganda -
Clearwater Revival
Rwambu
Uganda Hills


Mfano wa uvunaji wa maji ya mvua nchini India

Bwawa la hekalu Mylapore, mjini Chennai, India

Tamil Nadu ni jimbo la kwanza nchini India kulazimisha kisheria uvunaji wa maji ya mvua. Mnamo tarehe 30 mwezi wa 5, mwaka 2014, serikali ya jimbo ilitangaza itajenga miundo 50,000 ya uvunaji wa maji ya mvua sehemu mbalimbali za mji mkuu wa Chennai. [1]

Takribin hekalu 4,00 katika jimbo la Tamilnadu katika desturi yake zilikuwa na matangi ya maji yaliyotumika katika matambiko mbalimbali. Matangi pia yalitumika kupitishia maji ili kutilia nguvu mpya maji ya chini ya ardhi. Baada ya muda wa miaka kadhaa matangi hayo yamekuwa yanakaa bila ya kutumika yakijaa takataka za chakula na mchangatope uanofurika. Maji hakuna tena.

Sasa baada ya mfululizo wa harakati za vyama vya kujitoleza zikiwa na idara za ugawaji na matumizi, maofisa mjini Chennai wameamua kurekebisha takribin matangi 40 ya hekalu kuu yaliyoko mjini. Lengo ni kubadilishia matangi yawe sehemu za kuteka maji kwa uvunaji wa maji ya mvua. [2]

Viungo vya uvunaji wa maji

Video ya Rainsong

Matokeo katika maeneo

Mibunu na teknolojia

Vitu

Shirika na makundi

  • Vyanzo vya Uvunaji wa Maji ya Mvua. Orodha ya Vyama visivyo vya Kiserikali , mashirika ya kiserikali, pamoja na makampuni mengine ya kibinafsi ambayo yanalenga programu za uvunaji wa maji ya mvua, sera zao na mahitaji yao.
  • • Maji ya mvua kwa ajili ya Usalama wa Chakula: Tunawekea mazingira yanayowezesha uvunaji wa maji ya mvua (UMM) ilimradi usalama wa chakula uthibitishwe zaidi. Tukisaidiana na jumuiya yetu ihusikayo na Uvunaji wa Maji ya Mvua, tunahimili ukuzaji wa mtandao unaoshikamana zaidi wataalam, mashirika ya maeneo, yakiwa na yale ya mataifa pamoja na mitandao yao, yote yale ya dunia nzima yakifanya kazi katika hali ya umoja kusudi uvunaji wa maji ya mvua. Kwa kuunganisha wadau wote wanaohusika na kupashana maarifa kwa njia nyingi mno, programu ya Maji ya Mvua kwa ajili ya Usalama wa Chakula inalenga kutekeleza mabadiliko ya kudumu katika programu za uvunaji wa maji ya mvua.
  • Jumuiya ya Uvunaji wa Maji ya Mvua Kuhusu “Dgroups”


Mapashano ya maarifa baina ya Jumuiya – Uvunaji wa Maji ya Mvua

Picha iliyochini ni kianzisho kwa mazungumzo juu ya uvunaji wa maji ya mvua (UMM) ukiwa na utaratibu faafu, utafutaji wa matatizo, na ushauri kuhusu matangi na mifumo. Tulipata habari hizi kutoka Jumuiya ya Uvunaji wa Maji ya Mvua – jumuiya iliyo chini ya Jumuiya ya Akiba ya Maji Sehemu za Vijijini Kuhusu “Dgroups” – ambayo ni baraza kwa wanachama pekee bila malipo, ambako watu wanaweza kuwauliza jumla ya wanachama 700 na zaidi kutoka nchi 86 maswali kuhusu uvunaji wa maji. Wewe unaweza kuwa mwanachama kwa kutazama tovuti yao ukashirikiana nao zaidi, kutokana na maswali kuhusu mradi wenu wa UMM. Bonyeza picha ili uanze! Au bonyeza hapa.

Dg banner.jpg


Matukio katika maeneo

Miradi hii inatumia namna za ufundi wa uvunaji wa maji ikiwa sehemu ya orodha ya miradi katika Really Simple Reporting (RSR) iliyopo Akvo.org. Bonyeza taswira ili kufungua!


Akvorsr logo lite.png
Akvorsr logo lite.png
RSR Project 790
Mradi wa WASH Sehemu za Vijijini Bangladesh
RSR Project 427
Marekebisho ya Mfumo wa Kudumu wa Upataji wa Maji
RSR Project 446
Somo la mswada wa teknolojia
RSR Project 158
Uvunaji wa Maji ya Mvua kwa Shule Nicolas
RSR Project 128
Maji Safi kwa Fayaco, Senegal
Akvorsr logo lite.png
Akvorsr logo lite.png
RSR Project 398
Kituo cha Upimaji wa Uvunaji wa Maji ya Mvua
RSR Project 533
Uhimili wa WASH katika Miyo woreda
RSR Project 459
Marekebisho ya CLTS kwa ajili ya Afya Nzuri katika Jumuiya
RSR Project 456
Uwiano katika Utumwaji wa Huduma za WASH
RSR Project 462
Programu ya WASH Eneo la Kaskazini
Akvorsr logo lite.png
Akvorsr logo lite.png
RSR Project 440
Ongezeko la ufahamu waUvunaji wa Maji ya Mvua
RSR Project 439
Usimamizi wa Ardhi iliyolowa & Uvunaji wa Maji
RSR Project 545
Uvunaji wa Maji ya Mvua Nchini Nepal
RSR Project 403
Uvunaji wa Maji ya Mvua Nchini Kenya
RSR Project 840
Uvunaji wa Maji ya Mvua Nchini Ginebisau

Shukran

RAIN logo.jpg

Mengi ya yale yaliyopo katika ukarasa huu ambayo ni vifaa, teknolojia, na miradi yapo kutokana na fadhila ya Rainwater Harvesting Implementation Network.

RAIN ni mtandao wa nchi mbalimbali wenye lengo la kuongeza uwezo wa kupata maji kwa watu wanaoishi sehemu ambako upatanaji hautosheki mahitaji, haswa nchi zinazoendelea ambako wanawake na watoto wanawajibika kubeba maji ili wapate msaada katika miradi ya uvunaji wa maji ya mvua.

RAIN ilianzishwa mnamo mwezi wa 12, mwaka 2003. RAIN inalenga miradi ya ujenzi wa miradi midogo ya uvunaji wa maji sehemu za vijijini, pamoja na miradi ya kuongezea kiasi cha akiba za maji ya vyama vya jumuiya na kupashana maarifa juu ya uvunaji wa maji ya mvua baina ya watu wote dunia nzima.