Lango la Maji / Uvunaji wa Maji ya Mvua / Kifaa cha SamSam UMM

From Akvopedia
Jump to: navigation, search
English Français Español भारत മലയാളം Swahili 한국어 中國 Indonesia Japanese Russian
Samsam banner.jpg

Karibuni kwa Kifaa cha Uvunaji wa Maji ya Mvua cha SamSam.

Uvunaji wa maji ya mvua ni namna rahisi ya kukusanya maji majira ya mvua na kuyahifadhi yatumike majira ya ukame. Kwa kutumia kifaa hiki unaweza kupima kwa urahisi ukubwa faafu wa bwawa lako la uvunaji wa maji.

Kifaa hiki kitakuongoza kufuatilia hatua nne kuelekea kupata mfumo faafu wa uvunaji maji wa aina inayotimiza mahitaji yako.

  • Chagua mahali kwenye ramani ambapo mradi wako utakuwepo.
  • Pima ukubwa wa paa yako ukachague vitu vya kutengenezea paa.
  • Kadiri kiasi cha maji (katika lita) yatakayotumika kila siku.
  • Matokeo yamethibitika! Yanaonyesha: muhtasari, mahali, mvua, kiasi chake, upatanaji wa maji, mahitaji ya maji, akiba itakiwayo,

majira ya mvua na ya ukame, na chanzo cha maarifa.

Hebu, tuanze!

Kifaa cha Uvunaji wa Maji ya Mvua cha SamSam




Matakwa na mipaka

  • Kuungana na mdahalishi kunatakiwa ili kupata maarifa kuhusu mvua kutoka vyanzo vya nchi mbalimbali. Kwa bahati mbaya chanzo namna hii ni kubwa zaidi kwa mfumo huu kukipokea, kwa hivyo ndiyo sababu ya tarakilishi kutakiwa.
  • Watumiaji wengine wana matatizo, mojawapo linatokea baada ya kuchagua mahali kama kunavyoelezwa katika hatua ya kwanza. Wanashindwa kuelekea hadi hatua ya pili. Hata SamSam Water ilisumbuliwa na tatizo hili lakini baada ya mara ya kwanza halikutokea tena.
  • Tutatafuta sababu sababishi ya tatizo hilo. Tafadhali bonyeza mahali pengine pa karibu na mahali pa kwanza halafu bonyeza next. Pengine hatua hii itatatua tatizo. Tafadhali tuarifu ikiwa suluhu hii inatosheka. Sander Haas: sanderdehaas [at] samsamwater.com.
  • Kuhusu kushirikiana katika matokeo, tokeo lepi ungependa kuchangia na kwa namna gani? Tutajaribu kulishirikisha lako.
  • Kuhusu kuhifadhi matokeo: kwa kutumia kifaa husika cha aina ya kimdahalishi unaweza kutumia URL kugawa/hifadhi matokeo. Kwa mfano.


Sample result of water levels in a tank per year


Pia, kuna Android App ya Kifaa cha Uvunaji wa Maji ya Mvua inayopatikana.

Acknowledgements

Samsam logo color.png

Maji ya SamSam