Changes

Jump to: navigation, search
Created page with "{{Language-box|english_link=Water Portal / Rainwater Harvesting / SamSam RWH Tool | french_link=Outil de collecte des eaux de pluie (SamSam RWH) | spanish_link=Las herramienta..."
{{Language-box|english_link=Water Portal / Rainwater Harvesting / SamSam RWH Tool | french_link=Outil de collecte des eaux de pluie (SamSam RWH) | spanish_link=Las herramientas Sam Sam | malayalam_link= സംസം മഴവെള്ള സംഭരണ ടൂള്‍ | hindi_link= वाटर पोर्टल / वर्षाजल संचयन/ सैमसैम रेनवाटर हार्वेस्टिंग टूल | swahili_link=Lango la Maji / Uvunaji wa Maji ya Mvua / Kifaa cha SamSam UMM | korean_link= SamSam Water 빗물집수 툴 | chinese_link= SamSam 雨水收集助手 | indonesian_link= Alat Panen Air Hujan SamSam | japanese_link=SamSam RWH ツール}}

[[File:Samsam banner.jpg|right|300px|]]

Karibuni kwa Kifaa cha '''Uvunaji wa Maji ya Mvua cha SamSam'''

Uvunaji wa maji ya mvua ni namna rahisi ya kukusanya maji majira ya mvua na kuyahifadhi yatumike majira ya ukame. Kwa kutumia kifaa hiki unaweza kupima kwa urahisi ukubwa faafu wa bwawa lako la uvunaji wa maji.

Kifaa hiki kitakuongoza kufuatilia hatua nne kuelekea kupata mfumo faafu wa uvunaji maji wa aina inayotimiza mahitaji yako.

* Chagua mahali kwenye ramani ambapo mradi wako utakuwepo.
* Pima ukubwa wa paa yako ukachague vitu vya kutengenezea paa.
* Kadiri kiasi cha maji (katika lita) yatakayotumika kila siku.
* Matokeo yamethibitika! Yanaonyesha: muhtasari, mahali, mvua, kiasi chake, upatanaji wa maji, mahitaji ya maji, akiba itakiwayo,
majira ya mvua na ya ukame, na chanzo cha maarifa.

'''Hebu, tuanze!'''

{|style="border-style: solid; border-width: 1px 1px 1px 1px; text-align: center; background-color: #F0F8FF;" align="left" width="45%"
|[http://www.samsamwater.com/rain/ Kifaa cha Uvunaji wa Maji ya Mvua cha SamSam]

===Matakwa na mipaka===
* Kuungana na mdahalishi kunatakiwa ili kupata maarifa kuhusu mvua kutoka
vyanzo vya nchi mbalimbali. Kwa bahati mbaya chanzo namna hii ni kubwa zaidi kwa mfumo huu kukipokea, kwa hivyo ndiyo sababu ya tarakilishi kutakiwa.
* Watumiaji wengine wana matatizo, mojawapo linatokea baada ya kuchagua mahali kama kunavyoelezwa katika hatua ya kwanza. Wanashindwa kuelekea hadi hatua ya pili. Hata SamSam Water ilisumbuliwa na tatizo hili lakini baada ya mara ya kwanza halikutokea tena.
* Tutatafuta sababu sababishi ya tatizo hilo. Tafadhali bonyeza mahali pengine pa karibu na mahali pa kwanza halafu bonyeza next. Pengine hatua hii itatatua tatizo. Tafadhali tuarifu ikiwa suluhu hii inatosheka.
Sander Haas <[email protected]>
* Kuhusu kushirikiana katika matokeo, tokeo lepi ungependa kuchangia na kwa namna gani? Tutajaribu kulishirikisha lako.
* Kuhusu kuhifadhi matokeo: kwa kutumia kifaa husika cha aina ya kimdahalishi unaweza kutumia URL kugawa/hifadhi matokeo. [http://www.samsamwater.com/rain/step4.php?lat=-3.40376&lng=37.35352&zoom=7&width=5&length=6&roofareafill=30&roofarea=30&roofoption=1&rooftype=metal&runoffcoef=0.9&people=5&demandpp=20&totaldemand=100 Kwa mfano].

[[File:samsam example.png|thumb|none|600px|Sample result of water levels in a tank per year]]

Pia, kuna [https://play.google.com/store/apps/details?id=com.b24.samsamwater Android App] ya Kifaa cha Uvunaji wa Maji ya Mvua inayopatikana.

===Acknowledgements===
[[Image:samsam logo color.png|right|100px]]
[http://www.samsamwater.com/index.php Maji ya SamSam]

Akvopedia-spade, akvouser, bureaucrat, emailconfirmed, staff, susana-working-group-1, susana-working-group-10, susana-working-group-11, susana-working-group-12, susana-working-group-2, susana-working-group-3, susana-working-group-4, susana-working-group-5, susana-working-group-6, susana-working-group-7, susana-working-group-8, susana-working-group-9, susana-working-group-susana-member, administrator, widget editor
30,949
edits

Navigation menu