Changes

Jump to: navigation, search
Maelezo na matokeo
{{Language-box|english_link=Water Portal / Rainwater Harvesting / 3R (Recharge, Retention & Reuse)|french_link=La collecte des eaux de pluie / Les 3R (recharge, rétention et réutilisation)|spanish_link=3R (Recarga, retención y reutilización)|hindi_link=वाटर पोर्टल / वर्षाजल सचंयन / तीन आर (रिचार्ज, रिटेंशन और रियूज)|malayalam_link=3R (റീ ചാര്‍ജ്, റീടെന്‍ഷന്‍ &, റീ യൂസ്)|tamil_link=coming soon | swahili_link=Lango la Maji / Uvunaji wa Maji ya Mvua / K3 (Kutiliwa upya nguvu, Kuhifadhi, Kutumiwa upya) | korean_link=3R (재충전, 보유 & 재사용) | chinese_link=3R (回灌、储存与再利用) | indonesian_link=3R (Pengisian Ulang, Retensi & Pengguanaan Ulang)|japanese_link=3R (涵養、保有&再利用)}}
[[Image:Water Use Master Plan (WUMP) photo.jpg|thumb|right|200px|[https://assets.helvetas.ch/downloads/13_waterusemasterplan_wump_blau_final_engl_a4_portrait.pdf Mpango maalum wa matumizi ya Maji “WUMP”]. Foto: Silvia Voser.]]
====Maelezo na matokeo====
Mnamo mwaka wa 2012 nchini Nepal, RAIN pamoja na [httphttps://www.acaciawater.com/pg-28008-7-81949104660/pagina/welkomhome.html Acacia Water] zilianzia mradi wa K3 unaounga mkono ushiriki wa maji kufungamanisha mfumo wa K3 katika mipango ya miradi yao. Mfumo huu unazaa fursa pamoja na changamoto sehemu fulani zitakazokuwepo kwa kutazama mazingira ya maumbile hai pamoja na mazingira ya kijamii. Mnamo mwaka wa 2012 [http://www.metameta.nl/ MetaMeta] pamoja na RAIN zilifanya kazi za kujenga uwezo wa serikali za majumuiya kutekeleza malengo ya K3 yakiwa sehemu ya mfumo uliopo wa usimamizi wa maliasili. Miradi yote miwili ilidhihirisha haja ya K3 kama kifaa cha kupangia miradi ya usimamizi wa matumizi ya maji. Isitoshe, akili, uwezo na wajibu zinahitajika ili kubadilisha milolongo iliyopo ya upangaji wa mashirika ya kiserikali pamoja na yale yasiyo ya kiserikali.
===Kifaa cha Kukadiria Sehemu ya Kuteka Maji===
* PDF: [https://assets.helvetas.ch/downloads/13_waterusemasterplan_wump_blau_final_engl_a4_portrait.pdf WATER USE MASTER PLAN (WUMP): A concept to equitably share water resources within and amongst rural communities]. HELVETAS PROJECT EXPERIENCE.
* [http://www.bebuffered.com Be Buffered: This Area is Prepared for Floods and Droughts, is Yours?] 3R Water Secretariat.
* ARTICLE: [http://www.water-energy-food.org/en/practice/view__353news/2012-03-02-innovative-water-management-managing-the-water-buffer-for-climate-change-adaptation-and-food-security.html / Managing the Water Buffer: For Climate Change Adaptation and Food Security]. By Ethiopian Institute of Water Research, Federal Institute for Geosciences and Natural Resources and MetaMeta.* Lots of articles about reusing water for agriculture: [http://web.archive.org/web/20151025174729/http://agropedia.iitk.ac.in:80/ Agropedia].
Akvopedia-spade, akvouser, bureaucrat, emailconfirmed, staff, susana-working-group-1, susana-working-group-10, susana-working-group-11, susana-working-group-12, susana-working-group-2, susana-working-group-3, susana-working-group-4, susana-working-group-5, susana-working-group-6, susana-working-group-7, susana-working-group-8, susana-working-group-9, susana-working-group-susana-member, administrator, widget editor
30,949
edits

Navigation menu