Changes

Matakwa na mipaka
<br>
===Matakwa na mipaka===
* Kuungana na mdahalishi kunatakiwa ili kupata maarifa kuhusu mvua kutoka vyanzo vya nchi mbalimbali. Kwa bahati mbaya chanzo namna hii ni kubwa zaidi kwa mfumo huu kukipokea, kwa hivyo ndiyo sababu ya tarakilishi kutakiwa.
* Watumiaji wengine wana matatizo, mojawapo linatokea baada ya kuchagua mahali kama kunavyoelezwa katika hatua ya kwanza. Wanashindwa kuelekea hadi hatua ya pili. Hata SamSam Water ilisumbuliwa na tatizo hili lakini baada ya mara ya kwanza halikutokea tena.
* Tutatafuta sababu sababishi ya tatizo hilo. Tafadhali bonyeza mahali pengine pa karibu na mahali pa kwanza halafu bonyeza next. Pengine hatua hii itatatua tatizo. Tafadhali tuarifu ikiwa suluhu hii inatosheka.
Akvopedia-spade, akvouser, bureaucrat, emailconfirmed, staff, susana-working-group-1, susana-working-group-10, susana-working-group-11, susana-working-group-12, susana-working-group-2, susana-working-group-3, susana-working-group-4, susana-working-group-5, susana-working-group-6, susana-working-group-7, susana-working-group-8, susana-working-group-9, susana-working-group-susana-member, administrator, widget editor
30,949
edits