Changes

Lango la Maji / Uvunaji wa Maji ya Mvua

18,408 bytes added, 22:44, 10 February 2016
Created page with "{{Language-box|english_link=Water Portal / Rainwater Harvesting|french_link=La collecte des eaux de pluie|spanish_link=Captación de Agua de Lluvia|hindi_link=वाटर प..."
{{Language-box|english_link=Water Portal / Rainwater Harvesting|french_link=La collecte des eaux de pluie|spanish_link=Captación de Agua de Lluvia|hindi_link=वाटर पोर्टल / वर्षाजल संचयन|malayalam_link=മഴവെള്ള സംഭരണം|tamil_link=மழைநீர் சேகரிப்பு | swahili_link=Lango la Maji / Uvunaji wa Maji ya Mvua | korean_link=빗물 집수 | chinese_link=雨水收集|indonesian_link=Panen Air Hujan|japanese_link=雨水貯留}}

Uvunaji wa maji ya mvua ni namna ya ufundi ya ukusanyaji na uhifadhi wa maji ya mvua katika mabwawa ya asili au matangi au kupenyeza kwa maji ya juu ya ardhi kupitia mawe yaliyopo ndani ya maji (kabla hayajapotea kwa kuchuruzika kutokea juu ya ardhi.) Mbinu mmoja wa uvunaji wa maji ya mvua ni mbinu wa juu ya paa. Hapo, juu ya paa ikiwa na sura ya vigae, bamba za chuma, au plastiki, sura yoyote ile isipokuwa ya majani au kuti inaweza kutumika kuzuia njia ya mtiririko wa maji ya mvua uwe maji ya kunywa ya hali ya juu kwa familia pamoja na akiba kiasi cha kutosheza matumizi ya muda wa mwaka mmoja. Matumizi mengine ni pamoja na bustani, ufugaji na umwagiliaji, na kadhalika.

Matokeo: Uvunaji wa maji ya mvua utaongeza kiasi cha maji kinachopatikana, ukulima, hatimaye usalama wa chakula.
Akina nani: Familia ambao hawana maji ya kutosha, au watu wanaoishi sehemu za vijijini watanufaishwa zaidi na mifumo ya uvunaji wa maji ya mvua.
Jinsi: Kuna mlolongo unaoanzia na uvunaji wa maji ya mvua, halafu akiba ya maji itakayo kuwepo, mwishowe usalama wa chakula. Mlolongo huu utachangia kwa kiasi kikubwa ongezeko la mapato.

'''Sababu za kutumia mifumo ya uvunaji wa maji ya mvua zinajibu maswali matatu:'''

Matokeo: Uvunaji wa maji ya mvua utaongeza kiasi cha maji kinachopatikana, ukulima, hatimaye usalama wa chakula.

Akina nani: Familia ambao hawana maji ya kutosha, au watu wanaoishi sehemu za vijijini watanufaishwa zaidi na mifumo ya uvunaji wa maji ya mvua.

Jinsi: Kuna mlolongo unaoanzia na uvunaji wa maji ya mvua, halafu akiba ya maji itakayo kuwepo, mwishowe usalama wa chakula. Mlolongo huu utachangia kwa kiasi kikubwa ongezeko la mapato.

{| border="0" cellpadding="0" cellspacing="0" style="width: 100%; background-color: #fff"
|  '''VIFAA vya uvunaji wa maji ya mvua ''' - Mibinu ya kimsingi

{|cellpadding="5" cellspacing="0" width="100%"

|colspan="5" style="background-color:#efefef;"|

|style="background:#efefef;"|[[Image:WUMP photo small.jpg|center|100px|link=Lango la Maji / Uvunaji wa Maji ya Mvua / K3 (Kutiliwa upya, Kuhifadhi, Kutumiwa upya) ]]
|style="background:#efefef;"|[[Image:Nepal micro small.jpg|center|100px|link=Lango la Maji / Uvunaji wa Maji ya Mvua / Ukuzaji wa Biashara - Jinsi ya Kugharimia Biashara]]
|style="background:#efefef;"|[[Image:RWH barrel.jpg|center|100px|link=Lango la Maji / Uvunaji wa Maji ya Mvua / Huduma ya Matumizi Mengi (HMM)]]
|style="background:#efefef;"|[[Image:samsam image.png|100px|link=Lango la Maji / Uvunaji wa Maji ya Mvua / Kifaa cha SamSam UMM]]

|style="background:#efefef;"|[[Lango la Maji / Uvunaji wa Maji ya Mvua / K3 (Kutiliwa upya, Kuhifadhi, Kutumiwa upya) | K3 (Kutiliwa upya,
Kuhifadhi &
Kutumiwa upya)]]
|style="background:#efefef;"|[[Lango la Maji / Uvunaji wa Maji ya Mvua / Ukuzaji wa Biashara - Jinsi ya Kugharimia Biashara | Ukuzaji wa
Biashara - Jinsi ya
Kugharimia Biashara]]
|style="background:#efefef;"|[[Lango la Maji / Uvunaji wa Maji ya Mvua / Huduma ya Matumizi Mengi (HMM) | Huduma ya Matumizi Mengi (HMM)]]
|style="background:#efefef;"|[[Lango la Maji / Uvunaji wa Maji ya Mvua / Kifaa cha SamSam UMM | Kifaa cha
SamSam UMM]]

|colspan="5" style="background-color:#efefef;" |

|colspan="5" style="background-color:#DEDEDE;" |

|colspan="5" style="background-color:#efefef;" |
|-cellpadding="5"
|style="background:#efefef;"|[[Image:rain is gain small.png|center|100px|link=Water Portal / Rainwater Harvesting / Rain is Gain Tool ]]
|style="background:#efefef;"|[[Image:gis small.png |center|100px|link=Water Portal / Rainwater Harvesting / Rainwater Harvesting GIS Map]]
|style="background:#efefef;"|[[Image:wash sustain small.png |center|100px|link=Water Portal / Rainwater Harvesting / WASH Environmental Sustainability Assessment]]

|style="background:#efefef;"|[[Water Portal / Rainwater Harvesting / Rain is Gain Tool | Rain is Gain Tool]]
|style="background:#efefef;"|[[Water Portal / Rainwater Harvesting / Rainwater Harvesting GIS Map | Rainwater Harvesting
GIS Map]]
|style="background:#efefef;"|[[Water Portal / Rainwater Harvesting / WASH Environmental Sustainability Assessment | WASH Environmental
Sustainability Assessment]]

{| border="0" cellpadding="0" cellspacing="0" style="width: 100%; background-color: #fff"
|  '''Namna za TEKNOLOJIA za Uvunaji wa Maji''' - technical construction details, costs, and applicability

{|border: 1px solid #909090; cellpadding="3" cellspacing="0" width="100%"

|colspan="5" style="background-color:#efefef;"|

|style="background:#efefef;"|[[Image:rainwater harvesting small.jpg|center|100px|link=Water Portal / Rainwater Harvesting / Rooftop rainwater harvesting]]
|style="background:#efefef;"|[[Image:in situ2 small.jpg|center|100px|link=Water Portal / Rainwater Harvesting / In situ rainwater harvesting]]
|style="background:#efefef;"|[[Image:catchment dam small.jpg|center|100px|link=Water Portal / Rainwater Harvesting / Surface water |Surface water]]
|style="background:#efefef;"|[[Image:Subsurface harvesting systems small.jpg|center|100px|link=Water Portal / Rainwater Harvesting / Groundwater recharge |Groundwater recharge]]
|style="background:#efefef;"|[[Image:Fog_collection small.jpg|center|100px|link=Water Portal / Rainwater Harvesting / Fog and dew collection]]

|style="background:#efefef;"|[[Water Portal / Rainwater Harvesting / Rooftop rainwater harvesting|Rooftop]]
|style="background:#efefef;"|[[Water Portal / Rainwater Harvesting / In situ rainwater harvesting|In situ]]
|style="background:#efefef;"|[[Water Portal / Rainwater Harvesting / Surface water |Surface water]]
|style="background:#efefef;"|[[Water Portal / Rainwater Harvesting / Groundwater recharge |Groundwater
recharge]]
|style="background:#efefef;"|[[Water Portal / Rainwater Harvesting / Fog and dew collection|Fog and dew]]

{| border="0" cellpadding="0" cellspacing="0" style="width: 100%; background-color: #fff"
|  '''UVUMBUZI WA UMM''' - approaches, technologies, applications and projects on 3R, MUS and sustainable financing

{|border: 1px solid #909090; cellpadding="3" cellspacing="0" width="100%"

|colspan="6" style="background-color:#efefef;"|

|style="background:#efefef;"|[[Image:salyan small.jpg|center|100px|link=Water Portal / Rainwater Harvesting / Salyan and Dailekh, Nepal]]
|style="background:#efefef;"|[[Image:Salyan 2 small.jpg|center|100px|link=Water Portal / Rainwater Harvesting / Salyan District, Nepal]]
|style="background:#efefef;"|[[Image:Kajiado tank small.jpg|center|100px|link=Water Portal / Rainwater Harvesting / Kajiado, Kenya - 3R and MUS]]
|style="background:#efefef;"|[[Image:Rwambu spring small.jpg|center|100px|link=Water Portal / Rainwater Harvesting / Rwambu, Uganda - Clearwater Revival]]
|style="background:#efefef;"|[[Image:Rwambu project small.jpg|center|100px|link=Water Portal / Rainwater Harvesting / Rwambu Uganda Hills]]

|style="background:#efefef;"|[[Water Portal / Rainwater Harvesting / Salyan and Dailekh, Nepal | Salyan and Dailekh,
Nepal]]
|style="background:#efefef;"|[[Water Portal / Rainwater Harvesting / Salyan District, Nepal | Salyan District,
Nepal]]
|style="background:#efefef;"|[[Water Portal / Rainwater Harvesting / Kajiado, Kenya - 3R and MUS | Kajiado, Kenya -
3R and MUS]]
|style="background:#efefef;"|[[Water Portal / Rainwater Harvesting / Rwambu, Uganda - Clearwater Revival | Rwambu, Uganda -
Clearwater Revival]]
|style="background:#efefef;"|[[Water Portal / Rainwater Harvesting / Rwambu Uganda Hills | Rwambu
Uganda Hills]]

===Mfano wa uvunaji wa maji ya mvua nchini India===
[[File:200px-TemplePondChennai.jpg|200px|thumb|right|Bwawa la hekalu Mylapore, mjini Chennai, India]]

Tamil Nadu ni jimbo la kwanza nchini India kulazimisha kisheria uvunaji wa maji ya mvua. Mnamo tarehe 30 mwezi wa 5, mwaka 2014, serikali ya jimbo ilitangaza itajenga miundo 50,000 ya uvunaji wa maji ya mvua sehemu mbalimbali za mji mkuu wa Chennai. [http://timesofindia.indiatimes.com/city/chennai/50000-rain-water-harvesting-structures-to-come-up-in-Chennai/articleshow/35794531.cms]

Takribin hekalu 4,00 katika jimbo la Tamilnadu katika desturi yake zilikuwa na matangi ya maji yaliyotumika katika matambiko mbalimbali. Matangi pia yalitumika kupitishia maji ili kutilia nguvu mpya maji ya chini ya ardhi. Baada ya muda wa miaka kadhaa matangi hayo yamekuwa yanakaa bila ya kutumika yakijaa takataka za chakula na mchangatope uanofurika. Maji hakuna tena.

Sasa baada ya mfululizo wa harakati za vyama vya kujitoleza zikiwa na idara za ugawaji na matumizi, maofisa mjini Chennai wameamua kurekebisha takribin matangi 40 ya hekalu kuu yaliyoko mjini. Lengo ni kubadilishia matangi yawe sehemu za kuteka maji kwa uvunaji wa maji ya mvua. [http://infochangeindia.org/environment/news/temple-tanks-in-tamil-nadu-to-harvest-rainwater.html]

===Viungo vya uvunaji wa maji===
{{#ev:youtube|sHppepLP-pk|200|right|Video ya Rainsong}}

====Matokeo katika maeneo====
* [http://www.indiawaterportal.org/articles/traditional-rainwater-harvesting-systems-rescue Traditional rainwater harvesting systems to the rescue!] Rainwater harvesting systems are a success in India.
* [http://www.auick.org/database/apc/apc044/apc04403.html Chennai - A Success Story: Rainwater Harvesting]
* Pluvia: [http://likemyplace.wordpress.com/2014/03/29/energy-pluvia-rain-used-to-illuminate-low-income-homes-mexico-2014/ ENERGY # “PLUVIA” :: RAIN USED TO ILLUMINATE LOW INCOME HOMES (MEXICO, 2014)]

====Mibunu na teknolojia====
* [http://www.rainwaterharvesting.org/Urban/Components.htm COMPONENTS OF A RAINWATER HARVESTING SYSTEM]
* [http://www.nwp.nl/_docs/Smart-solutions-3R.spread.pdf Smart 3R Solutions]
* [http://thewaterchannel.tv/produce/webinars/280-webinar-12-tree-based-sustainable-farming-in-rainfed-areas Tree-based sustainable farming in rainfed areas - webinar]
* [http://www.scirp.org/journal/PaperInformation.aspx?PaperID=50615 Rain Water Harvesting Innovation for Making Potable Water Available in Saline Groundwater Areas]

====Vitu====
* Water Towers: [http://www.smithsonianmag.com/innovation/this-tower-pulls-drinking-water-out-of-thin-air-180950399/?no-ist Check Out These Amazing Towers In Ethiopia That Harvest Clean Water From Thin Air]
* Groasis waterboxx: [http://www.groasis.com/nl Using 1 liter of water instead of 10!]
* bob® bag: [http://www.gyapa.com/bobreg-rain-water-bag.html bob® gives customers access to clean water.]
* Rainwater pillow: [http://www.rainwaterpillow.com/ The Original Rainwater Pillow is an innovative rainwater & storm water harvesting system designed to be stored in horizontal wasted space.]
* Rainsoucer: [http://www.rainsaucers.com/applications.htm Made in the U.S.A., the patent pending RainSaucer™ is a rain barrel accessory that allows you to harvest rainwater]

====Shirika na makundi====
* [[Rainwater harvesting sources | Vyanzo vya Uvunaji wa Maji ya Mvua]]. Orodha ya Vyama visivyo vya Kiserikali , mashirika ya kiserikali, pamoja na makampuni mengine ya kibinafsi ambayo yanalenga programu za uvunaji wa maji ya mvua, sera zao na mahitaji yao.
* [http://www.rain4food.net/ • Maji ya mvua kwa ajili ya Usalama wa Chakula]: Tunawekea mazingira yanayowezesha uvunaji wa maji ya mvua (UMM) ilimradi usalama wa chakula uthibitishwe zaidi. Tukisaidiana na jumuiya yetu ihusikayo na Uvunaji wa Maji ya Mvua, tunahimili ukuzaji wa mtandao unaoshikamana zaidi wataalam, mashirika ya maeneo, yakiwa na yale ya mataifa pamoja na mitandao yao, yote yale ya dunia nzima yakifanya kazi katika hali ya umoja kusudi uvunaji wa maji ya mvua. Kwa kuunganisha wadau wote wanaohusika na kupashana maarifa kwa njia nyingi mno, programu ya Maji ya Mvua kwa ajili ya Usalama wa Chakula inalenga kutekeleza mabadiliko ya kudumu katika programu za uvunaji wa maji ya mvua.
* [https://dgroups.org/rwsn/rainwater/ Jumuiya ya Uvunaji wa Maji ya Mvua Kuhusu “Dgroups”]

====Mapashano ya maarifa baina ya Jumuiya – Uvunaji wa Maji ya Mvua====
Picha iliyochini ni kianzisho kwa mazungumzo juu ya uvunaji wa maji ya mvua (UMM) ukiwa na utaratibu faafu, utafutaji wa matatizo, na ushauri kuhusu matangi na mifumo. Tulipata habari hizi kutoka Jumuiya ya Uvunaji wa Maji ya Mvua – jumuiya iliyo chini ya Jumuiya ya Akiba ya Maji Sehemu za Vijijini Kuhusu “Dgroups” – ambayo ni baraza kwa wanachama pekee bila malipo, ambako watu wanaweza kuwauliza jumla ya wanachama 700 na zaidi kutoka nchi 86 maswali kuhusu uvunaji wa maji. Wewe unaweza kuwa mwanachama kwa kutazama tovuti yao ukashirikiana nao zaidi, kutokana na maswali kuhusu mradi wenu wa UMM. Bonyeza picha ili uanze! [[Community_Exchange_-_Rainwater_Harvesting | Au bonyeza hapa]].

{|style="border: 2px solid #e0e0e0; width: 100%; background-color: #e9f5fd;" cellpadding="10"

|style="vertical-align: top"|[[Image:dg banner.jpg|none|800px|link=http://akvopedia.org/wiki/Community_Exchange_-_Rainwater_Harvesting|]]

===Matukio katika maeneo===
Miradi hii inatumia namna za ufundi wa uvunaji wa maji ikiwa sehemu ya orodha ya miradi katika [http://akvo.org/products/rsr/ Really Simple Reporting (RSR)] iliyopo [http://www.akvo.org Akvo.org]. Bonyeza taswira ili kufungua!

{{RSR_table
|1image=project 790.jpg|1link=http://rsr.akvo.org/project/790/|1project#=790|1project name=Mradi wa WASH Sehemu za Vijijini Bangladesh |
|2image=rsr 427.jpg|2link=http://rsr.akvo.org/project/427/|2project#=427|2project name=Marekebisho ya Mfumo wa Kudumu wa Upataji wa Maji |
|3image=rsr 446.jpg|3link=http://rsr.akvo.org/project/446/|3project#=446|3project name=Somo la mswada wa teknolojia|
|4image=rsr 158.jpg|4link=http://rsr.akvo.org/project/158/|4project#=158|4project name=Uvunaji wa Maji ya Mvua kwa Shule Nicolas|
|5image=rsr 128.jpg|5link=http://rsr.akvo.org/project/128/|5project#=128|5project name=Maji Safi kwa Fayaco, Senegal |

{{RSR_table
|1image=project 398.png|1link=http://rsr.akvo.org/project/398/|1project#=398|1project name=Kituo cha Upimaji wa Uvunaji wa Maji ya Mvua|
|2image=project 533.jpg|2link=http://rsr.akvo.org/project/533/|2project#=533|2project name=Uhimili wa WASH katika Miyo woreda|
|3image=project 459.jpg|3link=http://rsr.akvo.org/project/459/|3project#=459|3project name=Marekebisho ya CLTS kwa ajili ya Afya Nzuri katika Jumuiya|
|4image=project 456.jpg||4link=http://rsr.akvo.org/project/456/|4project#=456|4project name=Uwiano katika Utumwaji wa Huduma za WASH|
|5image=project 462.jpg||5link=http://rsr.akvo.org/project/462/|5project#=462|5project name=Northern Region WASH Programme|

{{RSR_table
|1image=project 440.jpg|1link=http://rsr.akvo.org/project/440/|1project#=440|1project name=Ongezeko la ufahamu waUvunaji wa Maji ya Mvua |
|2image=project 439.jpg|2link=http://rsr.akvo.org/project/439/|2project#=439|2project name=Usimamizi wa Ardhi iliyolowa & Uvunaji wa Maji |
|3image=project 545.png|3link=http://rsr.akvo.org/project/545/|3project#=545|3project name=Uvunaji wa Maji ya Mvua Nchini Nepal|
|4image=project 403.png||4link=http://rsr.akvo.org//project/403/|4project#=403|4project name=Uvunaji wa Maji ya Mvua Nchini Kenya|
|5image=project 840.png||5link=http://rsr.akvo.org/project/840/|5project#=840|5project name=Uvunaji wa Maji ya Mvua Nchini Ginebisau|

===Shukran===
[[Image:RAIN logo.jpg|right|100px|link=http://www.rainfoundation.org]]
Mengi ya yale yaliyopo katika ukarasa huu ambayo ni vifaa, teknolojia, na miradi yapo kutokana na fadhila ya [http://www.rainfoundation.org/ Rainwater Harvesting Implementation Network].

RAIN ni mtandao wa nchi mbalimbali wenye lengo la kuongeza uwezo wa kupata maji kwa watu wanaoishi sehemu ambako upatanaji hautosheki mahitaji, haswa nchi zinazoendelea ambako wanawake na watoto wanawajibika kubeba maji ili wapate msaada katika miradi ya uvunaji wa maji ya mvua.

RAIN ilianzishwa mnamo mwezi wa 12, mwaka 2003. RAIN inalenga miradi ya ujenzi wa miradi midogo ya uvunaji wa maji sehemu za vijijini, pamoja na miradi ya kuongezea kiasi cha akiba za maji ya vyama vya jumuiya na kupashana maarifa juu ya uvunaji wa maji ya mvua baina ya watu wote dunia nzima.

[[Category:Rainwater Harvesting]]
Akvopedia-spade, akvouser, bureaucrat, emailconfirmed, staff, susana-working-group-1, susana-working-group-10, susana-working-group-11, susana-working-group-12, susana-working-group-2, susana-working-group-3, susana-working-group-4, susana-working-group-5, susana-working-group-6, susana-working-group-7, susana-working-group-8, susana-working-group-9, susana-working-group-susana-member, administrator, widget editor
30,949
edits